Mchumba wa kwanza

Mchumba wa kwanza

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,728
Reaction score
4,172
Mi kuna demu alkuwa anakuja pale home rafiki ake sista daah ni mkali hatari siku moja nkamuazima Simu yake nkampigia daah akasema hana mchumba ghafla akaenda sweden kakaa kama mwaka hivi akarudi mi hapo npo form two yey ndo alihamia sweden alivyorudi nlikuwa form three basi bwana kuna jirani yetu akaniambia kuna demu kakutana nae church kachukua namba akasema nimsindikize wakaonane nae basi île kwenda nkakuta yule demu.
ikabidi nitulie maana sikuwahi kumtongoza akapiga stori na jamaa mi nipo tu kwa mbali namcheki .
kurudi nyumbani nkaiba Simu ya sista nkachukua namba nikarudisha palepale usiku nkampigia yule demu nkamwambia kwa hiyo ameamua kuniumiza akaniuliza why?.
nkamwambia kumuona na mshikaji nimeumia mno u cant believe!! waliacha siku hiyohiyo demu akasema mi ndo alinpenda toka hajaenda hata sweden ila alijua ipo siku kilio chake kitasikilizwa basi kesho yake nkamuita nyuma ya hoteli flan tukaongea kesho yake nkachapa na kuchapa na kuchapa zaidi yaan ni mmoja kati ya wanawake nliowapenda zaidi kabla ya kuumizana na kuachana nampenda Sana hata sasa ingawa sipo tayari kurudiana nae

vipi kuhusu wewe ulimpata wapi na ilikuwaje ?
 
Alikuumizaje mkuu? Bado story haijaisha mkuu. Malizia kipande kilichobaki
.....midnight..............,
Mida ya wanga
 
alikuwa mwalimu wa sekondari me mwanafunzi wa shule ya msingi mwaka 2011.
 
sasa kwanini mliamua kupigana mpaka mkaumizana.
pole sana kwa majeraha halafu ndugu ukumbuke mapenzi sio vita hapo shukuru kakuumiza ungekufa je ingekuaje what if wewe ungemuumiza yeye si ungeozea jela.
 
aiseee m demu wa kwanz nlimpata nkiwa form 1 pale azania bt yy alikua anasomA JANGWAN SO AKAWA ANAKUJA TUSAIDIANE BT THE END OF THE DAY mwana nkafanya yangu ila ad nw ndo girl wanguuu uyo uyo mm ndo ilikua ivo mazee
😀😀😀
 
sasa kwanuni mliamua kupigana mpaka mkaumizana.
pole sana kwa majeraha halafu ndugu ukumbuke mapenzi sio vita hapo shukuru kakuumiza ungekufa je ingekuaje what if wewe ungemuumiza yeye si ungeozea jela.
ahaaaaa wabongo mpo makin kusoma aisee
 
Alikuumizaje mkuu? Bado story haijaisha mkuu. Malizia kipande kilichobaki
.....midnight..............,
Mida ya wanga
mkuu baada ya kuwa wapenzi alisafiri kwenda sweden kwa babaake.hakunitafuta tena nilikereka mno ila kumbe kabadilisha namba na bado anawasiliana na sister so nkaipata namba yake nikamtext akanijibu vizuri nikamwambia mi flan.
akanipigia Simu then akanambia eti babaake kamwambia lazima aolewe sweden na hawezi kupinga daaah nliumia mno ila nkaona mi mtoto wa kiume nimekutana na magumu mengi nkavumilia nkasikia karudi Tanzania mi nkatulia tu akaanza vitrip vya kuja home mara kwa mara akinkuta napiga stor na friends unakuta anatuma txt "mmmmmh unaongea wew" basi mi nkatulia tu.
siku moja usiku nkashtuka kama saa sita nakuta missed call kama nane hivi za kwake na SMS kuwa nimpigie mara tu ntakapoamka hata ikiwa saa nane eti anakesha sababu yangu mi nkaendelea kulala then asubuhi nkamcall! daah mara anaanza kulia akanambia anaomba nimsamehe kwa yote yaliyopita na hawezi kuishi bila mimi .
mi nkamsamehe tukaendelea vizuri kudate but mi nkajikuta from nowhere sijisikii kuwa nae tu nkamkaushia nkawa simpigii wala simtumii SMS akawa akipiga sipokei Simu zake wala sijibu SMS tukionana analia sana me nlikuwa naumia but sina namna maana simpendi basi mpaka akazoea na yeye ingawa anasema nkijisikia kurudiana nae yupo tayari ila siwezi aisée nimemchukia ghafla tu
hvyo ndivyo ilivyokuwa
 
Mimi wa kwangu nilianza nae since primary ila tukaja kuachana kwa sababu za kitoto..nikikumbuka nacheka tu hadi leo
 
aiseee m demu wa kwanz nlimpata nkiwa form 1 pale azania bt yy alikua anasomA JANGWAN SO AKAWA ANAKUJA TUSAIDIANE BT THE END OF THE DAY mwana nkafanya yangu ila ad nw ndo girl wanguuu uyo uyo mm ndo ilikua ivo mazee
😀😀😀
Kitu cha AzaJangwa
 
Ngoja nikimpata nitakuja kuwapa story stay tune
 
sasa kwanini mliamua kupigana mpaka mkaumizana.
pole sana kwa majeraha halafu ndugu ukumbuke mapenzi sio vita hapo shukuru kakuumiza ungekufa je ingekuaje what if wewe ungemuumiza yeye si ungeozea jela.
Asante
 
Mi kuna demu alkuwa anakuja pale home rafiki ake sista daah ni mkali hatari siku moja nkamuazima Simu yake nkampigia daah akasema hana mchumba ghafla akaenda sweden kakaa kama mwaka hivi akarudi mi hapo npo form two yey ndo alihamia sweden alivyorudi nlikuwa form three basi bwana kuna jirani yetu akaniambia kuna demu kakutana nae church kachukua namba akasema nimsindikize wakaonane nae basi île kwenda nkakuta yule demu.
ikabidi nitulie maana sikuwahi kumtongoza akapiga stori na jamaa mi nipo tu kwa mbali namcheki .
kurudi nyumbani nkaiba Simu ya sista nkachukua namba nikarudisha palepale usiku nkampigia yule demu nkamwambia kwa hiyo ameamua kuniumiza akaniuliza why?.
nkamwambia kumuona na mshikaji nimeumia mno u cant believe!! waliacha siku hiyohiyo demu akasema mi ndo alinpenda toka hajaenda hata sweden ila alijua ipo siku kilio chake kitasikilizwa basi kesho yake nkamuita nyuma ya hoteli flan tukaongea kesho yake nkachapa na kuchapa na kuchapa zaidi yaan ni mmoja kati ya wanawake nliowapenda zaidi kabla ya kuumizana na kuachana nampenda Sana hata sasa ingawa sipo tayari kurudiana nae

vipi kuhusu wewe ulimpata wapi na ilikuwaje ?
Kwani shule hazijafunguliwa!!! Maan post ya kitoto kabisa imekaa kiuanafunzi zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom