Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,067 Sep 15, 2011 #21 Sizinga said: Lengo la kupima lilikuwa nini?nadhani jibu unalo mwenyewe. Ni kama mpo salama then wote mfunge ndoa, what if the answer is viceversa?? Click to expand...

ameshakwambia mwenzake ni muathirika.mpe ushauri basi!
Sizinga said: Lengo la kupima lilikuwa nini?nadhani jibu unalo mwenyewe. Ni kama mpo salama then wote mfunge ndoa, what if the answer is viceversa?? Click to expand...

ameshakwambia mwenzake ni muathirika.mpe ushauri basi!
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,441 Sep 15, 2011 #22 mkuu swala la muhimu ni je mnapendana kweli??kama kuna mapenzi ya kweli ukimwi sio tatizo,nafikiri wataalam watakusaidia jinsi ya kufanya
mkuu swala la muhimu ni je mnapendana kweli??kama kuna mapenzi ya kweli ukimwi sio tatizo,nafikiri wataalam watakusaidia jinsi ya kufanya
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 883 Sep 15, 2011 #23 1Naki said: Kupenda kitugani? Penda maisha... Achana nae. Click to expand...

hujafa hujaumbika ndugu! We all speak freely what we think..si vibaya..lakini punguza makali!
1Naki said: Kupenda kitugani? Penda maisha... Achana nae. Click to expand...

hujafa hujaumbika ndugu! We all speak freely what we think..si vibaya..lakini punguza makali!
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,582 Reaction score 94,344 Sep 15, 2011 #24 Miaka mi4 ulikuwa uja-do nae au??? au inawezekana yeye alikuwa anajua ameumia ndo maana alikuwa anakunyimaaaa!!! Lengo la kupima ni nini?????
Miaka mi4 ulikuwa uja-do nae au??? au inawezekana yeye alikuwa anajua ameumia ndo maana alikuwa anakunyimaaaa!!! Lengo la kupima ni nini?????
N Nytemare Member Joined Sep 12, 2011 Posts 31 Reaction score 6 Sep 15, 2011 #25 ..kama unampenda oa uuguzwe!!
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,333 Reaction score 17,873 Sep 15, 2011 #26 Husninyo said:

mtihani mzito! Dah! Ila kuna thread moja jf dokta linaelezea hii ishu. Click to expand... hivi hii harusi tutaenda na shangazi yako?
Husninyo said:

mtihani mzito! Dah! Ila kuna thread moja jf dokta linaelezea hii ishu. Click to expand... hivi hii harusi tutaenda na shangazi yako?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Sep 15, 2011 #27 Dena Amsi said: Huo mtihani sio mchezo ila unaweza kuishi nae na ukabaki salama nenda ukapate ushauri jinsi ya kuishi mnaweza kuishi na kupata watoto Click to expand...

not that easy Dena,kama watataka mtoto itabidi kijana ajilipue and then who knows anaweza akaukwaa
Dena Amsi said: Huo mtihani sio mchezo ila unaweza kuishi nae na ukabaki salama nenda ukapate ushauri jinsi ya kuishi mnaweza kuishi na kupata watoto Click to expand...

not that easy Dena,kama watataka mtoto itabidi kijana ajilipue and then who knows anaweza akaukwaa