Mchumba ninayekaribia kumuoa simuelewi


ndo mnao iba waume za watu nyieeeeeeee. wewe chumbani kwa mkaka ulikwenda kufanya nini?
 
Wanawake sisi tuna vipawa vya ziada,bila kujipanga unaweza ona dunia chungu,kazi,biashara,kazi za nyumbani,kazi za chumbani,kupokea wageni wekundu kila mwezi,kupanga uzazi,kulea watoto,n.k..kuna nyakati tunahitaji mapumziko ya hali ya juu na utulivu. Ongea nae kwamba huo ndio mpango mzima kwa mwanamke hata kama una msaidizi wa nyumbani. Kama anapenda sana tv jaribuni kuweka katv kadogo jikoni apike huku anafuatilia vipindi vyake (mweeh).
Angalizo: issue yake ya ujeuri na yako ya dharau na kejeli zinabomoa nyumba hata kama mnapendana kiasi gani. Nyama ya ulimi ni muhimu sana na inaepusha rabsha nyingi.
 
ndo mnao iba waume za watu nyieeeeeeee. wewe chumbani kwa mkaka ulikwenda kufanya nini?

Mmh, na wewe, si kaona kwenye bongo movie? Jamaa alikuwa anamtokea aliposema si una mke jamaa ikabidi aanze kuangusha hizo kasoro.
Ndo maana huwa nasema kwa hili hakuna muafaka, ikiwa ndani ya ndoa, natafuta other supporting document tuu, no discussion.
 

Hata kupika aje house help? Hata kufua nguo delicate? Ila kama kakulia maisha ya kimasaki si ajabu, mchukulie alivyo, ttafuteni ma house help, na hakikisha kwako watu hawaji mara nyingi utapoteza hadhi yako katika jamii. Andika bandiko hili kwako, 'MBWA MKALI 24 HOURS A DAY, HALALI HACHOKI'.
 
Atakuwa faida gani kwako au atakuwa umeoa kwa ajili ya kuangalia movie funguka mapema mweleze ukweli ikishindikana mpotezee.
 
Pengine hii inaweza kuwa test nzuri na kama hatobadilika kwa test hii basi itabidi amuache!

Pole sana kaka usiendelee kuumiza kichwa we unafaa kuwa mme kweli leta mdada wa kufanya kazi wa siku moja halafu akimaliza shughuli msifie mbele yake kwa kukejeli mwambie naomba mfundishe mchumba wangu kazi akileta mizengwe hapo ndo pa kuanza kumpaka
 
So you are smart human being eeeh....you can solve all your problems eeeh....then Smart as* just read and don't put comments which are negative especially when a fellow human being is asking for advice....you look like a fool
 
Tafuta marafiki ambao wako kwenye uhusiano unaokuvutia....then nenda na shemeji mspend time na hao couples wengine labda ataweza elewa nini unafikiria...au njia nyingine ni kumpa muda zaidi kabla ya kukimbilia kwenye ndoa...nina uhakika kuna ujinga ambao upo kwenye kichwa chake akiungundua lazima utatoka in the mean time lazima ukubali msemo wa waswahili ukipenda boga.....

Ila la kuzingatia kubwa kuliko yote kabla ya kuamua kutangaza ndoa, cross check, double check even triple check kama you are ready for the big step, mie sijaoa lakini sitapenda kuamamka kitanda kimoja na mdada ambaye nina manunguniko nae moyoni.

I hope this helps you .... mapenzi kitu cha kipekee aisee
 


Ni rahisi zaidi kuvunja Uchumba kuliko kuvunja ndoa. Tafakari!
 
Jamani kuna makabila sito ya kuoa....wat if ni tabia yake katoka nayo nyumbani? Kuna makabila yanachapa kazi, yanajua kupenda na kusikiliza kwa umakini...sasa nyie mnaosema kila kabila lafaa kuolewa au kuoa subiri kujuta
 
mpingauonevu rudia kuisoma utaielewa kumkomoa kununua chipsi ndio vyombo asioshe,nguo asifue huyo ni mvivu wa asili mpaka kitandani atakuwa mvivu sema mtoa mada kaamua kumsitiri laazizi wake
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha ha ha ha
 

Duuh....ushauri wangu kwa vile wewe mwenyewe umekubali kuwa unampenda kiasi cha kutaka kumuoa, ni vizuri uyafanyie kazi hayo mapungufu ikiwezekana kwa kutumia nguvu manake kama kubembeleza imeonekana haina tija. Maisha katika nyumba ni jinsi wewe mwenyewe mwanaume unavyotaka yawe. Sometimes tabia halisi ya mtu huonekana pale anapokuwa amekasirika, jaribu siku moja kumhimiza afue nguo then akigoma mpe kofi moja la haja uone reaction yake...! Kwa kuleta hiyo chachu unaweza kupata mengi zaidi ya haya uliyosema....!
 
Mkuu ni vyema kama umesoma vizuri ushauri wa Ma-great thinker.
Tulia na tafakari kwa kina(Think great) kama huyo mpenzi wako kama anafaa kuwa wife au hafai.
Vinginevyo hakuna la zaidi mkuu tutakuwa tunacopy na kupaste.
 
.......Aisee huyo mdada inaelekea ndio wale wanaopenda kuonekana nje wasafi kumbe ndani wachafu.
Sifa ya mwanamke ni kujua na kupenda kupika na usafi. Sasa kama hivyo hawezi ni kasheshe!!
Mimi ninachoweza kusema, ndoa si lelemama......na hapo bado hajazaa mvivu hivyo!! Je mkija kupata
watoto itakuwaje?

.......Inabidi ujiulize mwenyewe je upo tayari kuvumilia kuwa na mtu mchafu? Asiyependa kupika?
Kwa maana ndoa ni kuvumiliana, hivyo kama utavumilia uchafu wa huyo dada go ahead!!!
Ila kama wewe ni msafi na mtu wa dharau, mhhhhhhhh!! Ndoa itakuja kukushinda kwa tabia za huyo dada.
 
mkuu huyo mtu namfaham vizuri sana, ndo alivyo! kila siku lazima ajiunge xtreme! anaandika sms bila hata kuangalia cm! na cm inalock kibao. For confirmation nipm nikutajie mpaka jina lake
 

Yaani madudu yote hayo USHAURI wa nini?? Something wrong in your brain... JITAMBUE Mwanaume...
 

pwenti....nkitumia pc ntakugongea like
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…