zunya JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 1,529 Reaction score 1,073 Jan 3, 2017 #81 weka kapicha na namba zake mkuu ili tuone tunakusaidiaje...!!
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,647 Reaction score 4,197 Jan 3, 2017 #82 MUOE,kama ulivohadithia ni kweli.
C chimwemwe msumba Member Joined Dec 25, 2016 Posts 27 Reaction score 39 Jan 3, 2017 #83 Kama yeye alivyokuwa muwazi kwako kwa kukwambia historia kabla ya kukutana na wewe jitahidi nawe uwe muwazi kwake kwa kila kitu ili mfikie malengo naamini hakuna mkamilifu chini ya jua inawezekana ikawa afadhali ya Huyo kuliko utakae mtafuta tena.
Kama yeye alivyokuwa muwazi kwako kwa kukwambia historia kabla ya kukutana na wewe jitahidi nawe uwe muwazi kwake kwa kila kitu ili mfikie malengo naamini hakuna mkamilifu chini ya jua inawezekana ikawa afadhali ya Huyo kuliko utakae mtafuta tena.
Veronica7598 JF-Expert Member Joined Jan 2, 2017 Posts 361 Reaction score 409 Jan 3, 2017 #84 Muoe tu, maana ametubu alafu muwazi sna wanawake wa siku hz wengi wao sio wakweli.
Bibboo Senior Member Joined Dec 27, 2016 Posts 129 Reaction score 72 Jan 3, 2017 #85 Usibaki na historia ya zamani yamepita na sasa amekua kiumbe kipya.....hawezi rudia oa tuu kaka.
chinekeeee JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,787 Reaction score 2,896 Jan 3, 2017 #86 owa lakini jitahidi uwe unalenga kwenye papuchi ukikosea utajikuta mtaa wa pili bila matarajio
G guzman bravo Member Joined Dec 25, 2016 Posts 16 Reaction score 7 Jan 4, 2017 #87 Nlikuwa navuta mbangi na siag