Mchumba nimempata ila...!!!

KAMA UNAMPENDA muoe ila usisite kumuona daktari Kwa ushauri zaidi.

Kuwa muwazi ni moja ya sababu zinazopelekea mimi kumwamini mschana.
 
Jiulize moyo wako unatakaje maana kwaje ni stigma ya alichofanyiwa kakueleza kwa kuwa anakupenda je wewe upo tayari kumstiri kama ndio muoe kama hapana muache
 
Ameamua kukueleza ukweli wake wote. Nadhani umpe nafasi. Suala la kuacha huo mchezo inafuatana alikua ameuzoea kwa kiasi gani. Kama yuko addicted itakua ngumu kuacha lakini sio kwamba haiwezekani. Na kuacha au kutoacha ni uamuzi wake mwenyewe. Inabidi awe ameamua yeye mwenyewe kuacha kutoka moyoni mwake na sio kulazimishwa na mtu. Cha msingi kaa chini uongee naye umsikilize anasemaje kuhusu hilo.
 
Kweli dunia inaelekea ukingoni. Yaani binti mwenye sifa hizo halafu waja kutuuliza? Bora asingekwambia.
 
19yrs mbona kama unaoa mtoto wako mkuu?
 
Daaaah cheupe umenena mama
 
Kaka nakushauri ule kona na uachane nae huyo binti.

Her past is part of her present. Angeweza sana tu kukataa kufanyiwa huo mchezo ila kwa kiwa alikubali basi bila shaka anaweza pia kuwa anaupenda na huenda tayari mchezo umeshamkolea.

Achana nae kabisa na ushauri wangu ni bora utafute msichana ambae hajawahi kushiriki zinaa....Wapo wengi tu huku uswahilini.
 
juzi kuna binti alileta hapa Uzi kuwa anataka ampe penzi ila anaigopa , alisimulia kuwa mpz wake Wa zamani alikufa Kwa ajari ndo alimfundisha, sasa yuko ndoani anatamani afanyiwe. bure kabisa

ushauri ndoa ni nzuri ila kuna mtu alinambia kuwa ukishafanya huo uchafu huwezi acha.

simnafiki mwanamke mwenzangu ila kwa hilo hapana .hiyo danganya Toto nijuavyo MTU hawezi kukulazimisha huo mchezo loh si kazi naacha? maisha popote angeacha kazi.

mbona mm boss wangu alininyanyasa anataka kunioa wakati simpendi na nilikuwa bado Mdogo vitimbwi vya Kila Siku nikiomba ruhusa niende masomoni anagoma kusaini barua yangu, niliamua Siku moja nikaacha kazi tena ya serikali nikaenda chuo na mshahara wakakata, maisha yakasonga.na sijuti
 
We unampenda au unamuonea huruma?? Maisha ya ndoa ni zaidi ya hapo unapofikiria wewe. Unaonekana uko desperate kuoa sababu umri unaenda lakini angalia baadae usijejuta. Huyo binti hakupenda na wala hajui nini maana ya huo mchezo we kama unampenda kweli muoe na sio umuoe tu sababu eti kakiri ukweli
 
Umeongea point sana ubarikiwe.
 
Mh

Bora aliyekuambia ukweli na kukupa msimamo wake
Kuliko anayekudanganya na analiwa
kimya kimya
 
Ukionja nyama ya mtu..kamwe huwezi acha kuila
 
Kama kaacha basi kaacha au wewe ndiyo uanze kumuomba tena!
Kama hauna mpango wa kumuomba unaogopa nn?
 
Trust no body......

Mwanamke huyo nina mashaka nae ukimuoa atakupa shida baadae.
 
Huuuu nmemuonea huruma huyo binti.. Wanaume wengine cjui wakoje..... SIWAPENDIIII
 
Muoe si bora amekua muwazi kwako mangapi sisi tunafichwa tusio yajua alikua na kila sababu ya kutokukuambia ila amekuambia kwa sababu amekuamin
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…