Mchumba nimempata ila...!!!

Muoe hyo binti, inavyoonekana ameacha hyo tabia kama angekuwa anaiendeleza asingekueleza kinagaubaga namna hyo isitoshe bado mdogo unaweza kuendelea kumuelimisha.. ila kama unampenda na sio kumuhurumia manake unaweza kumpa tabu mbele ya safari...!
 
Usimjaji mtu kwa mambo ya past.. Ila mbona ndo dem mzuri coz anatumia milango yote miwili ila kama ww kuutumia huo wa uwani kwa sasa..ufunge kisha tumia huo wa mbele ila huo wa nyuma usiufunge kbsa ufanye kma wa emergence... Mbele pakiwa na dharula itautumi...
 
Subiri kutembea na kifuko cha haja ndogo ufikapo 60 na kuendelea maana unaonyesha jinsi gani ulivyo mzoefu hadi kufikia kushauri ujinga
 
Me bado mdogo ila yachuje yangu. Binti kuwa muwazi kwako, deni yake heshima n. k inatosha kuamini anafaa kuwa mke hilo naungana na wengine But inawezekana hilo alokuambia kakuambia labda kwa sababu imekuwa kawaida kwake na haoni unyeti wake tena, la pili elewa kwenye nyumba za ibada wenye matukio ya hatar weng ndo wanakojificha may b wanataka kuaminiwa ili waolewe au waoe, tatu usioe kwa kuwa unamuonea huruma na la mwisho chukua muda sana kujua tabia zake za sasa tofauti na zile unazoziona ukiwa nae na usimwambie unampendea nn ili asiboreshe na ww uzidi kudata na pigo zake.
 
Dah bado dogo kabisa kiukwel inaumiza sana mapito wanayopitia hasa wadada wakaz zandani, me nakushaur kama umempenda muoe kwasababu huyo binti anaonesha anataka ndoa iliyo imara nandiomaana amekueleza ukweli mapito aliyopitia nawala hakupenda kuolewa kwakutaka sifa ili watu wamuone nashera hali yakuwa amekuficha madhaifu yake, Amekueleza ili kama utaridhia nautamuamini kama hawezi kurudia tena huo mchezo nahaupendi so kaz amekuachia wewe umuoe au la! Ila nivizur pia ungemuelezea mtaalam hiyo hali naamfanyie vipimo zaid ili kama kuna tiba itahitajika bac atibiwe.
 
Usiruhusu mambo yaliyopita yaongoze mambo yako yajayo.. Kama amekiri nadhan hawez rudia huo mchezo pia alifanya kwa kulazimishwa na si kwa kupenda .... .

Anyway, wewe ndio muoaji, sikiliza nafsi yako inavyosema
 
Kaka songa mbele na Huyo binti usijali mambo yake ya nyuma Maana ni moja ya mapito yake.na kaonyesha kutokufurahishwa na hyo tabia.ww muweke sawa naimani atakua Mke bora kwako Bro
 
Wewe oa tu acha mambo mengi kumbuka hata Shetani alikua malaika
 
Unajua kwa nini ametaka msifanye sex mpaka ndoa...

Ni kwa sababu huo mchezo bado hajaacha... mkifanya sasa hivi atatamani na umfanye nyuma alafu utamuacha lakini ndani ya ndoa mtavumiliana tu...
 
Unajua kwa nini ametaka msifanye sex mpaka ndoa...

Ni kwa sababu huo mchezo bado hajaacha... mkifanya sasa hivi atatamani na umfanye nyuma alafu utamuacha lakini ndani ya ndoa mtavumiliana tu...
Unamjua?
 
usimwoe, kukiri kosa hakufuti kosa na huo mchezo hawezi kuacha.
 
Chukua huyo mtoto ilimladi tu uakikishe tabia zenu zinaendana, isiwe tu maigizo
 
Mi naona ni bora ukajipa muda wa kumchunguza kwanza.... Alafu istoshe ni bado Mdogo huwezijua akifika 25 huko atakubadilikia na kuurudia huo mchezo wake..... Navyojua hyo kitu MTU hawezi kuacha ivi ivi.... Pia nakuomba hebu mshirikishe Mungu kwenye hilo
 
Unajua kwa nini ametaka msifanye sex mpaka ndoa...

Ni kwa sababu huo mchezo bado hajaacha... mkifanya sasa hivi atatamani na umfanye nyuma alafu utamuacha lakini ndani ya ndoa mtavumiliana tu...
Halina ukweli nadhani hujawah pitia fedhea za mapenz huyo Dada sasa atak kuchezewa na anahofu ya mungu na anaitaji ndoa ndio mana hatak mapenz sa iv, kumbe bora angekaa kimya bila kueleza chochote
 
Kaka heri ya mwaka mpya...kwanza nampongeza huyo msichana kwa kukuambia ukweli halisi,mm nakwambia sasa hv asilimia 99 wanawake tunaowaoa washafanya anal sex ila wanaficha kwa waume zao wanajua wataachika...ushauri wangu oa huyo bint
 
Sawa mkuu lakini hawa huwa wanaacha jumla kweli huo mchezo?
huwa wanaacha kabisa kama atakuwa na nia ya kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…