project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Mkuu ushauri wako sijui hata nimfanyaje huyu binti Kama Ni hela Nampa ili avae anavyotaka ila wapiMwisho atakuiba na wewe
Nimesimuliwa na mama zake wadogo na dada zake na si under 18 Ni binti wa miaka 20Aisee wanasema ndege wafananao huruka pamoja, unahisi si kweli? Huwa anakusimulia kwamba anaiba hizo nguo?, ama wewe umejuaje kuhusu huo udokozi?
Yupo under 18yrs?acha kutembea na watoto mkuu
Nadhani atakuwa kakosea kuandika atakuwa anamaanisha kila mweziNimeishia hapo kuwa Kila wiki una mpa 50000 ya kununua nguo[emoji57][emoji57].
Ngoja nikakojoe nilale
Tangu nimejua hii tabia ya kuibia watu nguo nikadhani Wenda binti Hana nguo za kutosha nikaanza kumpa Kila wiki hamsini ili anunue nguo anazotaka Cha ajabu Tena Jana kaiba nguo za watu TenaNimeishia hapo kuwa Kila wiki una mpa 50000 ya kununua nguo[emoji57][emoji57].
Ngoja nikakojoe nilale
Mkuu si Kila mwezi Ni Kila wiki naaminisha mkuu na nimefanya hivi ili aache nikidhani Wenda Hana nguo ila Jana tu dada yake ananiambia ameiba Tena nimfanyaje huyu binti nampenda kweli au nimpeleke wa wachungaji wakamwombeeNadhani atakuwa kakosea kuandika atakuwa anamaanisha kila mwezi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu, kwa kusimuliwa tu umeconclude hivo?, muulize ama mchunguze ujue kama ni kweli ama la,kuzushiwa maneno kupo usiamini sana.Nimesimuliwa na mama zake wadogo na dada zake na si under 18 Ni binti wa miaka 20
Unaweza ukahisi hivyo ila ndiyo ninayoyashuhudia Sasa hivi mimiHii chai haina sukari