Mchumba mwizi huyo!

Jaman huyo aliyesambaza hiyo picha jaman jaman, kesi ya huyu dada bado ipo kwenye upelelezi leo hii watu mnazisambaza aisee,
 
Bwana wee, kama afande alikua mwanaume si unaona kabisa kuna uwezekano alipitiwa wakati anaandika maelezo ya mnyange?
Hahaha nimekusoma mkuu maana mtuhumiwa ni chuma ya kuotea mbali
 
Mtoto wa Kirangi huyo kama sikosei siunacheki hiyo namba imeanza na KON/..... kifupi cha KONDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…