Mchumba mwema anahitajika

Mchumba mwema anahitajika

kutwamara3

Senior Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
170
Reaction score
27
Mimi ni kijana niliopo nje ya nchi nikibangaiza maisha,binti au mwanamke yeyote aliye tayari anipm kwa tupeane details zaidi
 
Mimi ni kijana niliopo nje ya nchi nikibangaiza maisha,binti au mwanamke yeyote aliye tayari anipm ili tupeane details zaidi.
 
Mmmh... Nilitaka kuku PM ila ID yako imenifanya nijiulize maswali lukuki kutwamara3
 
Last edited by a moderator:
Natamani ni kupm lkn huo mwandiko inaonyesha kiswahili umekisahau na kingreza mpka niangalie muvi nikalili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom