D DCharles Member Oct 29, 2013 23 1 May 25, 2014 #1 Wana JF jamani mwenzenu namchumba mkinga hawa kiasili wako vip? maana baadhi ya makabila yanavitu na tamaduni zinazosumbua kwenye familia.
Wana JF jamani mwenzenu namchumba mkinga hawa kiasili wako vip? maana baadhi ya makabila yanavitu na tamaduni zinazosumbua kwenye familia.
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Sep 29, 2012 3,401 1,604 May 25, 2014 #4 DCharles said: Wana JF jamani mwenzenu namchumba mkinga hawa kiasili wako vip? maana baadhi ya makabila yanavitu na tamaduni zinazosumbua kwenye familia. Click to expand... Moja ya sifa kuu ya wakinga ni washirikina hasa kwenye masuala ya biashara, lakini si wote hopefully wa kwako atakuwa si mshirikina.
DCharles said: Wana JF jamani mwenzenu namchumba mkinga hawa kiasili wako vip? maana baadhi ya makabila yanavitu na tamaduni zinazosumbua kwenye familia. Click to expand... Moja ya sifa kuu ya wakinga ni washirikina hasa kwenye masuala ya biashara, lakini si wote hopefully wa kwako atakuwa si mshirikina.
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,102 53,357 May 25, 2014 #5 Tafuta nyuzi zilizopita zinazohusu wakinga.
MO11 JF-Expert Member Mar 23, 2014 18,857 38,607 May 25, 2014 #6 MCHUNGUZI HURU said: Moja ya sifa kuu ya wakinga ni washirikina hasa kwenye masuala ya biashara, lakini si wote hopefully wa kwako atakuwa si mshirikina. Click to expand... umejuaje ?
MCHUNGUZI HURU said: Moja ya sifa kuu ya wakinga ni washirikina hasa kwenye masuala ya biashara, lakini si wote hopefully wa kwako atakuwa si mshirikina. Click to expand... umejuaje ?
Ligogoma JF-Expert Member Aug 27, 2010 3,503 6,376 May 25, 2014 #7 Wewe unapenda kunyenyekewa sana na mke? wanawake wa Kikinga ndiyo zao!! Wana nidhamu iliyopitiliza mpaka unaweza kuhisi unamuonea
Wewe unapenda kunyenyekewa sana na mke? wanawake wa Kikinga ndiyo zao!! Wana nidhamu iliyopitiliza mpaka unaweza kuhisi unamuonea
DuppyConqueror JF-Expert Member Mar 30, 2014 9,466 6,961 May 25, 2014 #12 Jiandae kulazimishwa kuning'iniza tunguli kwenye mlango wa kuingilia home na pia kuwekewa tunguli kwenye droo za kazini..hiyo ni minimum security standard ya wakinga
Jiandae kulazimishwa kuning'iniza tunguli kwenye mlango wa kuingilia home na pia kuwekewa tunguli kwenye droo za kazini..hiyo ni minimum security standard ya wakinga
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Sep 29, 2012 3,401 1,604 May 25, 2014 #13 MO11 said: umejuaje ? Click to expand... ina maana we huzijui njia ambazo binadam anatumia kujifunza mambo yanayo mzunguka katika jamii yake?
MO11 said: umejuaje ? Click to expand... ina maana we huzijui njia ambazo binadam anatumia kujifunza mambo yanayo mzunguka katika jamii yake?