Mchumba mkinga!!!!!!!!!!!!!?

DCharles

Member
Oct 29, 2013
23
1
Wana JF jamani mwenzenu namchumba mkinga hawa kiasili wako vip? maana baadhi ya makabila yanavitu na tamaduni zinazosumbua kwenye familia.
 
Wana JF jamani mwenzenu namchumba mkinga hawa kiasili wako vip? maana baadhi ya makabila yanavitu na tamaduni zinazosumbua kwenye familia.

Moja ya sifa kuu ya wakinga ni washirikina hasa kwenye masuala ya biashara, lakini si wote hopefully wa kwako atakuwa si mshirikina.
 
Wewe unapenda kunyenyekewa sana na mke? wanawake wa Kikinga ndiyo zao!! Wana nidhamu iliyopitiliza mpaka unaweza kuhisi unamuonea
 
Jiandae kulazimishwa kuning'iniza tunguli kwenye mlango wa kuingilia home na pia kuwekewa tunguli kwenye droo za kazini..hiyo ni minimum security standard ya wakinga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom