Mchumba mkatoliki anatafutwa.

Mchumba mkatoliki anatafutwa.

Mimi ni mwanamke aliye siriaz na hili jambo.
 
du kigezo ni kuwa serious tu....
 
hahahahahah kila la kheri.....mie mkatoliki ila natafuta mchumba wa kiislam
 
Yeah.awe siriaz na uchumba wa kuelekea ndoa.hata mlutheran kakangu zote ni dini tu na mungu ni mmoja.
 
unataka seriousness ikiwa wewe mwenyewe hauko siriaz du! hiyo kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom