Jamani, mchumba aliyetolewa mahali kbs na tarehe ya ndoa kupangwa lkn hakati mawasiliano na mtu wake flani na wameshachepuka. Inasemekana mchepuko wake akionyesha hali ya kutomchangamkia demu humlalamikia kuwa kwnn anakaa kimya wakati hajaolewa bado?
Ninavyofahamu, mchumba anakuwa tyr ktk himaya ya MTU......ni km vile aneshamilikiwa na si sawa kutoka nje. Hii imekaaje wadau?!!!!!!
Ninavyofahamu, mchumba anakuwa tyr ktk himaya ya MTU......ni km vile aneshamilikiwa na si sawa kutoka nje. Hii imekaaje wadau?!!!!!!