Ushauri, mchumba wangu anadai kapoteza Pete ya uchumba, hivi hili jambo, linakaaje yani, limenichanganya mpaka sasa sijaoa, ushauri bha ndugu, nipeni uzoefu hapa,
Kuna mtu mnashea nae huo mzigoUshauri, mchumba wangu anadai kapoteza Pete ya uchumba, hivi hili jambo, linakaaje yani, limenichanganya mpaka sasa sijaoa, ushauri bha ndugu, nipeni uzoefu hapa,
Mimi ilipoteaga nlikuwa nkishika sabuni kama nanawa, naosha vyombo, inadondoka! Siku moja nikaipotezea hotelin 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ata skumbuki ilidondokaje nimekuja kukumbuka asubui sasa nawaza kujieka smart na pete sina dahKwa jinsi nifahamuvyo wanawake waliovishwa pete ya uchumba jinsi wanaitunza na kuithamini naona kabisa hapo kwako kuna walakini?
Lakini tusihukumu, akuelezee mazingira lakini jiandae kiakili mapemaaa
"Ruzige"
Ushalewa naona, mtu yupo pete ndo haipo 🙄🙄Pole sana mkuu najua uliwekeza sana kwakwe ila ndo hivyo nasikitika kukamwambia hamna mtu apo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787]roma tena?Ila ROMA anaonekana ana maumivu kwene iyo nyimbo yake
Awana lolote afu ukishawashika pabaya ni vilio tuStamina!! Hawa bwana wakipatiwa kwenye right angle verse zote zitaimbwa, ni waoga sana wa maumivu, ila wao wakiwa wanawaliza wanawake wanajiona viduuuuuumeeee sasa hivi kila pande keleleeee wanawake wanawake wanawake ndoa ndoa ndoa, waache u coward waoe, it’s survival for the fittest sijui urijali wao wanawekaga wapi