...ila mkuu inaelekea wewe ni mpole sana....siku nyingine akikupiga na wewe mpige,asikupande kichwani !
Wewe mwanaume lin nlikupga mbata?? Au tulikua wachumba wawili??😢😢😢😢👊👊👊😠😠
Pole sana usipokua makini na utani wako unaofanana na ukweli iko siku atakupiga bonge la mtama
...ila mkuu inaelekea wewe ni mpole sana....siku nyingine akikupiga na wewe mpige,asikupande kichwani !
Kwa wasioijua mbata, ni kofi zito la mkono uliokunjuliwa na vidole kunyooshwa huku mkono ukiwa umekazwa, mara ya mwisho kupigwa mbata ilikuwa kidato cha pili miaka zaidi ya 20 iliyopita.
Ilikuwa siku mwalimu wa kiswahili anafundisha mimi nikalala, nikashitukia tu mbata inashuka mgongoni, nikajikuta nasimama ghafla na usingizi kukata kabisa.
we jamaa zaid ya miaka 20 ulikua form...... kwa umri huo mpaka leo unamchumba na si mke?? kuwa makini unapoandika thread zako...