D
Deleted member 485868
Guest
Kwanza shoga angu naanzaje!!!naanzaje kuishi na zigo lisilo faida kwangu..yani janaume zima mie nitafute ulete tumbo lako ule tu nakufugaa???!!!Maisha yalivo magumu shoga uishi na mtu hachangii familia si utakufa siku si zako jamani yeye ale tu?
Shoga angu pesa zilivyo na ugumu hivi alafu jitu tu linambie pesa zangu za majukumu ..zake za maendeleo ya familia yake..apambane na familia yake nami nipambane na pesa zangu full stop!!!yanini kukaushana uzazi!!??heheee sitaki mie