Mchumba kadhoofisha ujamaa wetu

Mchumba kadhoofisha ujamaa wetu

Shughuli imeanza toka asubuhi na inategemewa kuisha muda wowote.
Kaboom mpaka sasa hajafika, anaweza kuta tumeshaondoka kwenda beach.
Mambo yalikuwa mengi mkuu..Tukutane kwa Wema kama vipi
teh... baada ya kujua ni mtoto wa kiume...nadhan mood imekata
Duuh..Mkuu unaanzaje kumtamani mtt wa swahiba yako..Huyu kama mwanangu pia
Ha ha ha, aisee!

Kaboom sherehe imeisha mkuu, nenda tu kwa Wema.
Njoo na wife kwa Wema..
 
Mkuu huyu sumbai urafiki wake inabidi uishie bar tu, kupelekana nyumbani hapana.

Kwa Wema tutakuja mkuu, ila wakiona nimechelewa waambie waanze tu wasinisubiri.
Teh teh..@sumbai ni Budege..Yeye hachagui..Sio wa kumpeleka nyumbani huyo
 
kaa nae mbali na mwambie mchumba wako aongee nae amwambie sasa mimi nimechumbiwa hivyo si heshima kwa wazazi wangu na kwa mchumba wangu we kuwa unakuja kwetu.
 
Back
Top Bottom