Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,558
- 45,878
zile tahmeed mpya tayari zipo barabarani?ila we dada jamani......
shetani anahusikaje .tamaa zake mwenyewe anaogopa kibamia labdaMwambie amfukuze shetani
Huyo Jamaa nitumie namba yake nimrushie Vocha.. Amenifurahisha sana.. Demu katingisha kiberiti jamaa kakaza kwelisalam aleikum wadau
mimi kama mwenyekiti wa wanawake tulioamua kustaafu kusex bila ndoa nimepata malalamiko toka kwa mwanachama wangu.mnajua bna sisi wanawake mtuelewe tu sometimes tupo off saa zingine on.
kapata mchumba sharti la kwanza mwenyewe mdada akamwambia jamaa no sex till marriage jamaa akamwambia poa hata mimi nataka mwanamke kama wewe.
imefika katikati mdada anataka kujaribu amemtega jamaa wee hadi amelala kwake ila jamaa hapigi gemu kabisa na sasa anaprocess ndoa .
sasa huyu member mwenzetu anadai ana hofu anataka gemu kwanza .mimi hata simuelewi jamani anaomba ushauri maana nimempa id yangu hapa anasoma.
matusi muache jamani shaurini kiungwana mambo ya mahusiano ni magumu jamani
jamaa staarabu sanaHuyo Jamaa nitumie namba yake nimrushie Vocha.. Amenifurahisha sana.. Demu katingisha kiberiti jamaa kakaza kweli
umeelewa nilichoandika kweli?Humwelewi nn,amepewa mashart amekubali...ngoja afunge ndoa kabisa coz nae anajua huyo Dada ni Virgin sasa kazi siku ya ndoa anakuta kitu kinapita bila chenga...atavunja ndoa ooh,haya mambo ya miaka hiyoooo 1940s ,au unampa muda mzuri wa kujiselfisha nje ya huyo Dada...
Ngoja nimwambie huyo Dada...sisi wanaume hatuna uvumilivu sana labda kama anakupenda kwa dhati...lakini ukichelwa itakula kwako..
Hitimisho..Kama ametoa na mahali MPE chake..asije endelea na game za nje
zipo tayari, unataka kupandazile tahmeed mpya tayari zipo barabarani?
Nyie si mnajifanyaga kuturingia.. Utasikia Ooh hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa.. Jamaa Kakaza sasa. Asante Jamaa kwa kutuwakirisha vyemajamaa staarabu sana
Amekurupuka tu huyoumeelewa nilichoandika kweli?
Wanaosema shake before use unafikiri hawakukoroga vizuri?Du hiyo special 'delivery to be opened on your honey moon' nayo inataka moyo, ukikutana na vituko huko na ndoa yenyewe ni ra Roman Catholic sijui unafanya nini?
Well kama umekwenda kukachumbia katoto ka miaka 18 -20 kwakweli hutakatendea haki kama utaanza kumwambia 'shake before use'. Lakini ukutane na mdada anakwambia mimi bwana nimeamua baada kuwa disappointed aahhh!Wanaosema shake before use unafikiri hawakukoroga vizuri?