Anapoteza watu walio serious kumuoa kwaio point ya msingi ni kuolewa nahisi ndo tatizo lilipo wanawake wanapaswa kuelewa kwa mwanaume kuoa ni kifungo wakati kwa mwanamke kuolewa ni furaha kwake..kwaio lazima ufikirie mara mbili mbili juu ya hilo swala