Mchumba haeleweki

all i can say ni kwamba wanaume linapokuja swala la kuoa wengi wao hupata 'cold feet' kwa muda then baadae hukaa sawa, so may be atatekeleza or anaweza asiwe muoaji vile vile, cha msingi mshauri mdogo wako asithubutu kubeba mimba tena ASITHUBUTUUU
 
Kwa ahiyo wewe ni Ke au Me au wewe ndiyo uliyejiozesha kwa huyo Mwanaume bila ridhaa ya Wazazi sasa unataka uhalalishe Uzinzi wako.. Jamaa acha aendelee kukupiga dushelele tu hivyo hivyo mbona ni poa tu..
 
March tu, unaleta Uzi?

Ila huyo jamaa naye 35 yrs bado tu anawaza au kuchunguza?

Avute subira kidogo. Mwisho wake utuletee mrejesho.
 
Yani umeshindwa kumshauri mdg wako kwny issue ndogo hivi?!
 
Kama mchumba haeleweki,ajaribu sebule tu labda itaeleweka.[emoji124][emoji124]
 
Leave her to hustling for a marriage....[emoji16] [emoji51] [emoji119]
 
Hapo ktk kumbebesha hiyo mimba ni moja ya kipimo cha mtu aliyezamiria jema.
weee hivi hii idadi ya single mothers hujaiona au huijui? trust me dalili njema haihusiani kabisa na swala la kubebeshwa mimba kabla ya ndoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…