Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Anasema anaivaa kwa kuwakwepa wanga lakini yeye hana mkeKuvaa pete ni ishara ya kwamba bado ameoa.. yaani ni mume wa mtu.
Si umuulize au?
Anasema anaivaa kwa kuwakwepa wanga lakini yeye hana mke
Bado na ninemuuliza hili tangu wakati tunaanza kufahamiana. Anasema wakishgawana mali kila mtu ana maisha yake kwa sasaAmekuonyesha divorce papers?
Kumbuka hayaMchumba alishaoa ndoa ya Roma na kupata watoto. Wameachana na mke na watoto ni wakubwa. Changamoto iliyopo
1. Ndoa ya Roma haina talaka nitaweza kuolewa na huyu mwanaume?
2. Bado anazaa pete ya ndoa hii imekaaje?
.
Kila MTU na maisha yake haipo kama ndoa au cheti hskijafutwa officiallyBado na ninemuuliza hili tangu wakati tunaanza kufahamiana. Anasema wakishgawana mali kila mtu ana maisha yake kwa sasa
Asante sana mkuuKila MTU na maisha yake haipo kama ndoa au cheti hskijafutwa officially
Kila MTU na maisha yake haipo kama ndoa au cheti hskijafutwa officially
Baada ya kuuliza haya nimeachwa rasmiAmekuonyesha divorce paper yao?
Baada ya kuuliza haya nimeachwa rasmi
Pole mwaya kwaio umeachwa lasmi nw upo single???Baada ya kuuliza haya nimeachwa rasmi
Pole sana.Baada ya kuuliza haya nimeachwa rasmi
Waligawanaje bila talaka!Bado na ninemuuliza hili tangu wakati tunaanza kufahamiana. Anasema wakishgawana mali kila mtu ana maisha yake kwa sasa
relax!Baada ya kuuliza haya nimeachwa rasmi
Kwa hali hii lazima yamkute hayo, ataolewaje na mume wa mtu?wewe kila thread niumeachwa tuu!! kuna kitu utakuwa unatafuta.
Good... Move on! Plenty of fish out there!Baada ya kuuliza haya nimeachwa rasmi