The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,088
- 14,576
Mara ya kwanza nilikutana naye mkesha wa mwaka mpya Kanisa la Roman Catholic nikajua moja kwa moja nimepata mcha Mungu, kidume cha bara nikazikaza nikamfuata na kuanza vijisalamu na kujipendekeza hapa na pale. Stori zikanoga nikakamatia chini namba, kitu nili-note kana vya viingilishi sana na kanafaa great thinker forum, ok
Mwanawane baada ya hapo tukaanza vidate vya kumtoa hapa na pale kamanda nilitest kupiga chapu nikakutana na protocal kali, ok! Nikaobey after a week nikaanza kutupia mudogo mudogo, kako fiti level za kamasutra.
Long stori short sasa nikajaaa nikaanza kumchunguza kama anafaa kuwa mke, hamadi asilimia 90 ya wanaomjua walim-comment wife mineral, ok! Nikabidi nianze kumjua kiundani mitazamo yake, dah mwanawani demu kumbe hana dini ni ATHEIST yaani haamini uwepo wa Mungu. Mwanzo nilidhani ananitania, kuuliza watu wakanambia ndo walivyo kwao hata baba zake wengi wanaishi ng'ambo ni ma atheist au rastafari.
Nikamuhoji alifuata nini kanisani akaniambia yeye hupenda kwaya za Katoriki na alikuja kwa mkumbo wa kampani tu ngachoka. Nimejitahidi kumuitia watu wamuhubilie ananinunia week nikituma mtu na anamajibu makali ya vya-logic kujustfy mambo yake.
Mimi ndo sihemi sisemi natumbua macho ka nakatwa kuchwa kwa meno. Nimemuuliza tuoaneje anasema yupo tayari kuzuga mkatoliki tuoane ila nisimsimulie ujinga wa vya Yesu eti.
Jamani nishaulini sijui nifanye nini ?