Mchumba anahitajika

Jinsi ulivyo mjudge hapo mwisho sasa huyo ndo yeye halisi

Mwanamke anapoamua kuwasiliana nae lazima ajue mtu huyu sio smart ,sura yake ipo serious mazingira anatoka ni ya maisha ya kawaida yaani hivo unavyotaka jamaa asiwe basi ndo inabidi avionyeshe mwanzoni kbs mwa kutafuta mchumba...

Mtu anayetaka kupata mpenzi mtandaoni yampasa awe really kwelikweli kitabia muonekano na mavazi ili apate mtu size yake..

Wanaume km huyo jamaa wapo wengi tu mtaani na wameoa wana familia...

Bro hayo ndo maisha yake halisi ambayo anapaswa kuyaonyesha from beginning.
Watu mko delusional sana. Baki na fikara zako, na mimi nitabaki na zangu. End if story
 
Soma comment yangu #29 ili uelimike. Unahitaji elimu ya maisha. Kuweka smile, haina gharama. Kuvaa smart, haina gharama. Hayo mambo sio ku-feki kitu. Kufeki ni kama kusema natengeneza shs 10m kwa mwezi wakati mtu ni jobless. Ila kusema mfano nina ndoto ya kuwa na biashara kubwa ya duka na ninaifanyia kazi ila bado haijatimia, hio nayo sio kufeki. Mwanamke anapenda kuwa na mtu anayejitambua, jamaa post yake inaonyesha bado hajitambui vizuri.
Comment yako mwenyewe ume feki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom