Mchumba anahitajika

Joined
Nov 8, 2016
Posts
40
Reaction score
21
Habari wanajf,
Natafuta mchumba wakike,
Mm nikijana mfanyabishara hvyo natafuta mchumba awe mfanyabishara pia au muajiliwa serikalin

Sifa zingine ni Kama ifuatavyo
1.umri usizidi miaka 26
2.Awe mzuri
3.Awe nachura kidogo
4.Asiwe mfupi sana na asiwe mrefu sana
5.Rangi yoyote
6.Dini mkristo
7.Ukiwa dar utapewa kiaumbele zaidi

Kwaalie tayali kalibu PM
 
We jamaa una ugonjwa kama wa Suriya

L na R

Ila taratibu mchumba ako nipo hapa nitakubadilisha
Kumbe haka kaugonjwa kako eeh, juz tu sijui nani yule ulimwambia aache wote mbona leo unafungua ka branch
 
Hivi vibranch vitanisaidia wakati wa kumwagwa na wale wengine ukifika 😃

Nasubiri siku ifike tu mambo yakikamilika nifungue branch na kwako
Hautaweza kiapo changu cha damu, ukichepuka tu una rest in peace.
 
Mstari wa mwisho umenifanya nibadili mawazo ya kuja PM
 
Umri zero pia bado hawajakuwa .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…