Mchumba anahitajika

Mchumba anahitajika

ndusyepo

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
167
Reaction score
50
Habari...

Naitwa Richard, Humphrey nina miaka 26, naishi Tabata natafuta mwanamke atakaekuja kuwa mama watoto kama Mungu atapenda awe na sifa zifuatazo:

1. Mcha Mungu japo hata kidogo.
2. Mkweli na mcheshi.
3. Mpole na mwenye upendo wa dhati na mvumilivu
4. Msikivu na mpenda maendeleo.


Kwa aliyetayari please ni PM au tuwasiliane kwa namba 0623-012068

Asante.
 
habari...Naitwa Richard,humphrey nina miaka 26, naishi tabata natafuta mwanamke atakae kuja kuwa mama watoto kama mungu atapenda awe na sifa zifuatazo:

Bado kidogo nidhani unaitwa Richard Mugizi.

Tungepigana ngumi leo...iweje utumie swagga zangu kupata totoz..

😀😀😀😀😀.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom