Mandonga anasemaga umeyakanyaga[emoji23][emoji23]
Ila IPO hv Kuna baadhi ya makabila kama mkeo kaamua kuachana na ww bila main reasons na hajakunzalia mtoto hata Moja una haki kwenda kudai Mali yko.
NB.ila kama we ndo umemuacha hata kama Kwa makosa madogo kama hayo ya kuelezeka mahali yko imeenda na maji,,but hii imekaa kijamii Zaid I do known kisheria au kidini imekaaje