Mchumba Amenirudishia pesa aliyoniomba

Mchumba Amenirudishia pesa aliyoniomba

Anawekeza mjanja sana huyo, si anajua atachomoa zaidi ya hizo, yaani hapo ni kama kurudisha mpira kwa kipa, ataurudisha tu uwanjani mwenyewe!!😀
 
Anawekeza mjanja sana huyo, si anajua atachomoa zaidi ya hizo, yaani hapo ni kama kurudisha mpira kwa kipa, ataurusisha tu uwanjani mwenyewe!!😀

😂😂😂😂😂😂 huu mfano kama namuona de Gea anavyorudisha mpira kwa Jones huku Jones anamuonyeshea aupeleke kwa Matic.
 
Sielewi kama ndoto hivi, Ila ni kweli ilikuwa mwishoni mwa mwaka Jana nilipoanza penzi jipya nililolitamani siku nyingi, Ile nimeanza tu sijakaa Sawa nikaliliwa shida ya elfu kumi kumi 50, japo niliwaza Sana maana ilinichukua karibu wiki mbili kuwaza niliamua kumpa cash, wakuu leo nimerudishiwa pesa yangu yote na huku anacheka akisema nilikuwa nakupima tu, ulivyonipatia pesa nilienda weka ndani sikuwa na shida nayo, I love you hehehe wakuu nipo hapa nimeweka 450 bank 50 nakula nae kitimoto na hivi hatunywi alcohol hahaha

Nitaoa siku moja nitavaa suti na Kula kiapo kama mambo yenyewe ndio haya,

Sent using Jamii Forums mobile app

Anakukoleza tu, Biashara ni new strategies ambazo hazipo kwenye Market..... mwache Akufanyie biashara kibunifu....
 
Sielewi kama ndoto hivi, Ila ni kweli ilikuwa mwishoni mwa mwaka Jana nilipoanza penzi jipya nililolitamani siku nyingi, Ile nimeanza tu sijakaa Sawa nikaliliwa shida ya elfu kumi kumi 50, japo niliwaza Sana maana ilinichukua karibu wiki mbili kuwaza niliamua kumpa cash, wakuu leo nimerudishiwa pesa yangu yote na huku anacheka akisema nilikuwa nakupima tu, ulivyonipatia pesa nilienda weka ndani sikuwa na shida nayo, I love you hehehe wakuu nipo hapa nimeweka 450 bank 50 nakula nae kitimoto na hivi hatunywi alcohol hahaha

Nitaoa siku moja nitavaa suti na Kula kiapo kama mambo yenyewe ndio haya,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale ambao hatujawahi kurudishiwa tunakoment wap? Mhudumu niongeze bia moja hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sielewi kama ndoto hivi, Ila ni kweli ilikuwa mwishoni mwa mwaka Jana nilipoanza penzi jipya nililolitamani siku nyingi, Ile nimeanza tu sijakaa Sawa nikaliliwa shida ya elfu kumi kumi 50, japo niliwaza Sana maana ilinichukua karibu wiki mbili kuwaza niliamua kumpa cash, wakuu leo nimerudishiwa pesa yangu yote na huku anacheka akisema nilikuwa nakupima tu, ulivyonipatia pesa nilienda weka ndani sikuwa na shida nayo, I love you hehehe wakuu nipo hapa nimeweka 450 bank 50 nakula nae kitimoto na hivi hatunywi alcohol hahaha

Nitaoa siku moja nitavaa suti na Kula kiapo kama mambo yenyewe ndio haya,

Sent using Jamii Forums mobile app
unagongewa dogo...hakuna demu wa class hiyo kwa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom