Mchumba Amenirudishia pesa aliyoniomba

Mchumba Amenirudishia pesa aliyoniomba

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,109
Reaction score
1,398
Sielewi kama ndoto hivi, Ila ni kweli ilikuwa mwishoni mwa mwaka Jana nilipoanza penzi jipya nililolitamani siku nyingi, Ile nimeanza tu sijakaa Sawa nikaliliwa shida ya elfu kumi kumi 50, japo niliwaza Sana maana ilinichukua karibu wiki mbili kuwaza niliamua kumpa cash, wakuu leo nimerudishiwa pesa yangu yote na huku anacheka akisema nilikuwa nakupima tu, ulivyonipatia pesa nilienda weka ndani sikuwa na shida nayo, I love you hehehe wakuu nipo hapa nimeweka 450 bank 50 nakula nae kitimoto na hivi hatunywi alcohol hahaha

Nitaoa siku moja nitavaa suti na Kula kiapo kama mambo yenyewe ndio haya,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom