Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
sijaelewa kitu, mchubuo?
wallahi!!! nilitaka kupeleka uzi chitchat kuuliza kijana wa mashairi kaishiwa nini nimpe idea, by the way mchugaji bwana naye feki sa inakuaje anachukua mchumbuo wakati brandnew zipo au alizidiwa maunjanja?
Wote Mchungaji na Kondoo wake walisoma kitabu kimoja tu katika BIBLIA nzima "WIMBO ULIO BORA".Kyaiyembe huyu mchungaji hamjui Muumba ya kuwa kamwagiza ukisha beba mali yako hakuna kuitelekeza labda kwa sababu za uasherati............
For the first week, I thought she was shy and still adjusting to marriage life because we were yet to consummate our marriage, the pastor explained.
Mkuu Rutashubanyuma
unisaidie kidogo kwa taratibu za ndoa (hasa za kikristo).
Hawa walikuwa wana ndoa kweli au ilikuwa bado haijafanyika?
Nina wasiwasi kidogo hebu soma hapa;Kyaiyembe...jamaa alikuwa kishaoa, shughuli ilikuja wakati wa ku consummate hiyo kitu sura mirinda miguu pepsi
"For the first week, I thought she was shy and still adjusting to marriage life because we were yet to consummate our marriage," the pastor explained.
Mkuu Rutashubanyuma
unisaidie kidogo kwa taratibu za ndoa (hasa za kikristo).
Hawa walikuwa wana ndoa kweli au ilikuwa bado haijafanyika?
Kyaiyembe...jamaa alikuwa kishaoa, shughuli ilikuja wakati wa ku consummate hiyo kitu sura mirinda miguu pepsi
Nina wasiwasi kidogo hebu soma hapa;
But one night, he went to bed before her as usual but he was troubled so sleep evaded him.
Thinking that the husband was fast asleep, she went to the bedroom and undressed.
But before she could sneak into bed, her husband, who was fully awake, switched on the light to surprise her. To his shock, his ‘light-complexioned' wife was dark in complexion, except for her face, part of her arms and legs.
"You bleached your face? Is this why you are always wearing long dresses?" the shocked pastor asked.
NAdhani huyu pastor ni KONDOO wa ukweli na sio KONDOO mcha MUNGU!.