Mchuano wa kununua tiketi za fainali ni mkali sana

Franky Samuel

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
4,912
12,988
Mchuano ni mkali Sanaaaaaa Hapa tickets 20,000 zimemalizika Sijahesabu zile 10,000 BMT , za mama , za mkuu wa mkoa wa dar View attachment 2633512View attachment 2633513View attachment 2633514
20230524_182156.jpg
 
Timu ya wasanii, janja janja nyingi. Kwa hiyo mnaringia kufeli mara nne, mnahesabu kuwa mafanikio? Mheshimiwa Rage apewe maua yake!!
Wacha kutugombanisha Mkuu, unajua tukisema tuwavunjie nazi hiyo fainali yenu mtaishia kupigwa nje ndani.

Sisi ni Kaka zenu kwa mafanikio ya Kimataifa 💪
 
Hivi mnajisikiaje kila siku unarisiti tu mtihani halafu unachokipata ndio kile kile hauongezi kitu kuvuka mbele. Shida ni nini?
Kwani nyie tangu mmeanza kucheza Kimataifa si mlikuwa mnaishia makundi Mkuu, sisi kila Mwaka graph yetu inazidi kupaa ndiyo maana ukizitaja Klabu 15 zenye mafanikio Kimataifa basi Huikosi Simba Sports Club 💪
 
Back
Top Bottom