utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,512
Ni zamu ya mkatoliki, usiniulize kwa nini na atakua nani, ila we elewa hivyo....save hii comment muda ukifika.Tukiondoa nguvu ya wazee wakina Pinda,Kinana,Makamba senior,Kikwete,Wassira, Mangula na wengineo kwenye Chama changu cha Ccm basi,generation ya vijana ambao baadae wanakuja kushika nguvu ya chama ni Mwigulu na Makamba junior.
Hivyo mchuano wa 2030 utakuwa mkali sana kati ya hao wawili maana kufikia wakati huo watakuwa na mizizi mikubwa kwenye chama na watakuwa backup za kutosha huko nyuma ya mbio zao.
Ingawa tukija kwenye suala la nani ataibuka kidedea,karata yangu naiweka kwa Mwigulu sababu ya Dini na naona anavyopanga mashambulizi yake mapema kabla ya mtanange kuanza.
Pia kwa watumiaji wazuri wa twitter mtajua vita ya wawili hawa ikoje kuitafuta 2030,kwasababu kila mmoja ana watu wake kula wanajaribu kumpigania..mfano sakata la dollar kupotea na umeme kupanda bei kila wizara kulikuwa na upande unaowatupia wengine lawama basi twitter ilipamba moto,wengine sisi tulikaa pembeni tukiangalia mtanange.
Mtaniuliza vipi kuhusu Sukuma gang kurudi ulingoni,hilo nahitaji niwaambie tu ukweli kuna Ccm asilia na Ccm wajaji sasa asaivi chama kiko kwa Asilia na hawatarudia tena lile kosa la 2015 labda itokee dhoruba itakayoondoa kizazi chote hiki, Gang hawaji kuinuka tena habadani.
Mshauri wa masuala ya ndani sana.
Kuna siku mtanielewa tuView attachment 2729749
Kwani Mwigulu kanisa gani?Ni zamu ya mkatoliki, usiniulize kwa nini na atakua nani, ila we elewa hivyo....save hii comment muda ukifika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asaivi hakuna kubahatisha kama 2015 ni jina litatoka mapema tu2030 [emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
Nani aijuaye kesho
SawaSawa mkuu niko hapa mbele kabisa naisubiria 2030 iwadie
Sijui, ila we jua ajaye ni mkatoliki, awe Mwigulu(kama ni mkatoliki) au mwingine.Kwani Mwigulu kanisa gani?
Tozo boy dini ilikuwa kigezo cha kumpa nafas shida ni moja Tu Tozo ni mlutheri wakati huku ili uwe Prezidaa inabidi uwe mla kitimoto hivo hiyo kete itamchomoa atakuja mmoja msiyemtegemea kabisaNi zamu ya mkatoliki, usiniulize kwa nini na atakua nani, ila we elewa hivyo....save hii comment muda ukifika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natumwa na Mwigulu? AiseeWewe unatumwa na Mwigulu umpigie debe huku lakini siku akipewa tu tiketi ya kugombea uraisi (siyo kushinda) nahama nchi. Siwezi kupigwa mnada mchana kweupe mimi
Ndio hivyo, kuna options mbili either uwe mvaa kobazi au RC, sasa zamu ya kobazi inaishia 2030 anaingia RC then mvaa kobazi, cycle itaendelea hivyo kwa miaka mingi sana.Tozo boy dini ilikuwa kigezo cha kumpa nafas shida ni moja Tu Tozo ni mlutheri wakati huku ili uwe Prezidaa inabidi uwe mla kitimoto hivo hiyo kete itamchoa atakuja mmoja msiyemtegemea kabisa
We jua tu mchuano wa 2030 ni haoHivi nyie kifo huwa mnakiweka wapi mnapojadili siasa zenu?
Au mmekuwa kama Jiwe aliyetumia mibulungutu ya Umma kubadili kanuni za chama na baadaye abadili katiba atawale milele ?
Kiogopeni kifo.
Mkuu utukufu mwanjisi, kwa huyu, nakuunga mkono, Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!Ingawa tukija kwenye suala la nani ataibuka kidedea,karata yangu naiweka kwa Mwigulu sababu ya Dini na naona anavyopanga mashambulizi yake mapema kabla ya mtanange kuanza.
Kabisa hapo Tozo boy sidhani kama anaweza kupata nafas kabisaNdio hivyo, kuna options mbili either uwe mvaa kobazi au RC, sasa zamu ya kobazi inaishia 2030 anaingia RC then mvaa kobazi, cycle itaendelea hivyo kwa miaka mingi sana..usiniulize kwanini. Watakao kuwa hai utaona hivi hivi nnavyo post uzuri muda haudanganyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini sio baba wala mama, atabatizwa, atapata kumunio na kipeimara na kuwa mkatoliki kabla ya 2030..TumemalizaSwali ni moja tuu, je ni Mkatoliki?.
P