Mchoro wauzwa $110.5m marekani

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919

Huyo mchoro umeuzwa bei kubwa sana kwa kwa pesa ya kitanzania ni sh. Billion 250.

Kwa mtazamo wangu
Huo mchoro hata mtu nikute anauza sh. Elfu 50 siwezi kununua kwasababu sijauelewa maana yake.
 
ukinipa bure sichukui utaongeza uchafu nyumbani kwangu.
 
Huko ulaya kuna watu wana hela cha kufanyia hawana ndio wanaamua ku spend kwa staili iyo
 
Hiyo sasa ndiyo demokrasia,nunua kitu unataka hata kama hakina faida kwa sababu una hela,siyo huku kwetu kelele nyingi mfuko mwepesi[emoji16][emoji3][emoji23].Zeni unaitusi sirikali.
 
Huko ulaya kuna watu wana hela cha kufanyia hawana ndio wanaamua ku spend kwa staili iyo
Kukosa kujua maana kunakusababisha ushindwe hata kuelewa nini cha kuchangia...

Bill Gates alinunua kitabu cha sketches cha Da Vinci kwa mamilioni ya dola

Mnadhani wenzenu wanavyonunua arts wanaishia hapo? Jiulize kwa nini Majumba ya sanaa ya ulaya na makumbusho yanalindwa kuliko bank?
 
Kuna watu wanapesa za kuchezea sana. Huo mchoro ni zaidi ya pesa ya bajeti ya wizara hapa Tanzania..
 
Safi Sana. Wazungu wanathamini sana Sanaa. Bongo, Mtu anakufata inbox umchoree picha yake bure.
 
Ingekuwa bongo hiyo viongozi wangeingilia kati
 

Huyo mchoro umeuzwa bei kubwa sana kwa kwa pesa ya kitanzania ni sh. Billion 250.

Kwa mtazamo wangu
Huo mchoro hata mtu nikute anauza sh. Elfu 50 siwezi kununua kwasababu sijauelewa maana yake.

Devil at work dude...! Wanaouza na kununua wanaelewa maana yake.
 
kadri siku na matukio yanayoendelea uelewa wangu kwa wazungu unazidi kua finyu aiseee
huu mchoro mie ningekutana nao barabaran ningeukojolea aiseee
 
Devil at work dude...! Wanaouza na kununua wanaelewa maana yake.
Kweli kabisa
Huwezi kuspend hela zote hizo kwa kitu kisochokuwa na maana kunareturn ipo hapo ambayo sisi hatuwezi kuiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…