Dah! kama kweli bro ni msaliti namuonea huruma, maana msaliti hakubaliki kanisani, msikitini, kwenye mizimu, kwenye jamii, kwenye timu ya mpira, serikalini, kwenye siasa. Maana Biblia imesema bora mchawi kuliko msaliti. na mwisho wake huwa ni mbaya sana. kama kweli amekosea aombe msamaha, ila kama hajafanya chama kimuombe msamaha. ukweli anaujua yeye mwenyewe!
Ni kweli ukweli utafahamika tu. Na ni mtu gani aonewe na chama kizima isipokuwa ccm na mamluki wa chadema?