real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Mchoraji Gado wa DW (Kiswahili) walipost katuni ya Rais Magufuli akiwa na jipu kichwani, wakimaanisha kuwa nani atamtumbua?
hii katuni ya sasa mbele ya hili tingatinga kuna watu wanauliwa then tingatinga likiendeshwa na Magufuli ndio linasawazisha, hapo kuna Zanzibar mtu anapigwa, kuna free speech imeuliwa. Angalieni vizuri wameandika kwa Kiingereza, huu ni muendelezo wa kumchora rais na nchi yetu. Hii katuni inaakisi kinachoendelea nchini au ni propaganda?