Mchora katuni awatabiria Chadema mabaya.

Hilo si jambo geni.Walikuwepo kina Wassira,walitabiri hadi mwaka wa CDM kufa lakini badala ya kufa iliimalika zaidi.Cdm iko mioyoni mwa watu,ni imani.Hata upande wa ccm pia ni hivyo,kuna watu ambao kwao ccm ni maisha.Badala ya kutabiriana vifo,bora watu wangejikita katika kujifunza namna bora zaidi ya kuvumiliana katika mfumo wa vyama vingi. Tumeweza kuvumiliana katika imani za kiroho, tunashindwa nini kwenye siasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wajomba zako huko Songwe wanalala juu ya miti kama mbayuwayu wakimtoroka DC anayewalazimisha kujiunga na mgambo alafu wewe kutwa unakata viuno hapo Lumumba.
Pole kwa maumivi,kisu kimekata mfupa......kaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Wewe unapigana na mtu kashikiliwa mikono yake nyuma na ''basoda'' halafu mashabiki mnashangilia bondia wetu ni bora sana....hapo mpumbavu ni nani?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Duh! Na wachora katuni nao ni manabii! Kweli ukiamua kupenda hakuna kurudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…