Kuna zungine nimekopi Kweli ila siyo yote
kwenu Mpo wengi mpaka coridor kuna biashara za umachinga zna fanyika...
umekomaa mpaka ukigusa computer inasema new hardware found
Mpo wengi kwenu hadi babaako akirudi anasema Ndugu wananchi
Kwenu msoto mpaka mende na panya wanajitegemea sehemu ya Kula
Naskia mna tv kubwa hadi tom na jery wakiwa wanafukuzana wanapuumzika katikati