Mchongo wa pesa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Leo nime ona niwape mchongo
Vijana wengi wa kitanzania ambao
Mnataka kufanya biashara ambavyo
Vitawapa mafanikio

Nendeni nyarugusu kwenye kambi ya Wakimbizi
Kuna pesa nyingi saana kule

Unaweza nunua kitu kwa shilling 5000 dar es Salam alafu kule ukakipiga bei 15000

Unaweza funguwa restaurent
Au chochote kule alafu ukawa Una Ingiza pesa nyingi saana


Kuna wasanii wengi ambao wamesha Anza kwenda kupiga pesa kule

Ringo aliwai kwenda kule
Mkojani na wengine wengi saana

Na kizuri zaidi wakongo wengi uwaga Wana wa eshimu wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…