Mchinaaaaa weee wacha tu

Heeh huo ugonjwa sasa! Probably something went wrong with her hormones! Sio kawaida!
 
Sio kila kitu mchina...huyo kajishindilia msosi na hayo ndio matokeo
 
Hiyo sio kazi ya Mchina, hayo ni matokeo ya hiyo misosi aliyoshikilia.
 
Walah ulipate hilo kwa hot chair na konyagiiiii!!!!!????
 
mtawasingizia hawa wachina kwa kila kitu.mtawasingizia hawa wachina kwa kila kitu.
 
hapo sio mchina wala msosi, suala ni kwamba huyo ni abnormal!! sio kila kitu mchina bwana
 
yaani hata KFC imekua ya mchina, wabongo kweli wanapenda mkumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…