MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,004
Wachina Wametamalaki Tanzania, kila kona sasa wamejaa, wamebana fursa kwa wazawa pamoja na kwamba wame invest lakini sio kigezo cha wao kujazana (kujiajiri wao kwa wao) na kuwatupilia mbali wazawa)
Kuna huyu anaejiita Sharobaro wa kichina anaeyehost kipindi cha STAR TIVE DIGITAL TV (nadhani no Marketing Officer) je hapakuwa na Mtanzani akakaa nafasi hiyo? Au ni kivutio kwa kipindi?
Sina chuki na MTU, nothing personal lakini tusipoongalia Wachina watatushika matako kwa jina la Investment!
Nawsilisha!