Mchina Vs Mungu

bado wanaume hamjaona au?
 
Mwanadamu aliyeumbwa na Mungu anaumba viungo vya ziada katika mwili wake.
 
manake tuendako mchina ataumba mtu siyo? hii ns sehemu tu lakin kuna bkra bandia!

Mkuu usiombe kukutana na bikra iliyotengenezwa na mchina. Ni hatari utashangaa wewe ndiyo unatoka damu badala ya ke!
 
Dah ulishakutana nayo nini Mungi utupe news kidogo???
 
We acha tu, Bikra za mchina inatakiwa uziondoe kwa mkono kwanza. ukiingia kwa pupa unabikiriwa wewe badala ya kubikiri

Hahahahaha, jamani nimecheka hadi basi! :lol::lol::lol:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…