Mchina ni noma wewe...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
mxcpa.baa-Carrying-Sofas.jpg

Mchina akikatiza mt. Manzese na GUTA na full ujazo wa sofa...
 
Manzese ya Tanzania haina barabara zenye vibao vyenye maelekezo yalioandikwa kwa lugha ya kichina.
 
Kwani hapo Dar ni mt. gani wanatumia MAGUTA kwa wingi kwa uzoefu wako?!
Angalia hizo sign posts kwenye backgound ya picha na rangi yake hafu unambie kama nchi hii tunatumia format hiyo, no wonder huijui Manzese kama utabaki adamant!!!
 
Acha kutufnya wajinga. Tanzania nzima hakuna mandhari nzuri hivyo, hata ikulu! Manzese ikose watu wanaozagaa zagaa kwa maelfu? Unachezaa nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom