Mchina kaleta kila kitu ispiokuwa NYONGA

Mchina kaleta kila kitu ispiokuwa NYONGA

Nyonga ina wenyewe Buji....

haya mambo anayaweza snowhite
 
Last edited by a moderator:
Nyonga yao watu wa pwaniiiii!!!!!!!!!! Wapi wazaramo, wadigo, wamakonde!!!!!!!!!!! Chezeya kufunzwa kuzungusha Chini kuna moto na misumari, ukileta mzahaaa ushaungua kiuno hivooo, yabidi ujitahidi mambo yawe juuu kwa juuu.
 
...chicken partieeesss.... kazi kwelkwel
 
Nyonga yao watu wa pwaniiiii!!!!!!!!!! Wapi wazaramo, wadigo, wamakonde!!!!!!!!!!! Chezeya kufunzwa kuzungusha Chini kuna moto na misumari, ukileta mzahaaa ushaungua kiuno hivooo, yabidi ujitahidi mambo yawe juuu kwa juuu.

HALAFU KICHWANI ZEROO NA MAENDELEO HAKUNA.......... Pwani bwana... Angalia TBC UONE WACHAGA WANAVYO OLEWA KWA FUJO
 
HALAFU KICHWANI ZEROO NA MAENDELEO HAKUNA.......... Pwani bwana... Angalia TBC UONE WACHAGA WANAVYO OLEWA KWA FUJO
Kila siku watu wanaolewa na kufa lakini kujitangaza TBC na ITV kuwa nimeolewa au nimekufa ni hulika ya kabila fulani Hapa

MADA [h=2]Mchina kaleta kila kitu ispiokuwa NYONGA[/h]Wachagga wanaweza kukata kiuno? AA Aa ila wachina wangetengeneza wangeenda nunua na kuvijaza madukani maana wao na pesa mwisho!!!!!!! kumlea MUME hawataki wakinyang'anywa kelele mm nasoma kaseti
 
HALAFU KICHWANI ZEROO NA MAENDELEO HAKUNA.......... Pwani bwana... Angalia TBC UONE WACHAGA WANAVYO OLEWA KWA FUJO

Sisi twashinda tumepaka hinaa atiiii!!!!!!!! Hatulimi wala hatufugi ila twalaaa, na magari twaendeshaaa!!!!!! Wachagga tumewaachia kufuga ngombe, kuku wa kisas, na miishughuli mingine!!!!!!!! Sie letu baraza tuuuu!!!!!!!!! Mjaa asili haachi asili, na akiacha basi huyo hana akili.
 
Back
Top Bottom