Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kwa wale ambao labda hawafahamu Bell Curve ni nini, hii ilipendekezwa na Wanasayansi wa Kimarekani waliokuwa wanafanya utafiti wa IQ (uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo) kwa watu wa asili tofauti tofauti hasa nchini Marekani ambapo kuna watu wa jamii ya kila aina yaani Wazungu (Ulaya), Weusi(Afrika Kusini mwa Sahara), Waasia (Wachina, Korea, Japan &Co.) , lengo lao lilikuwa ni kutaka kujaribu kuelezea hali ya maisha ya jamii mbalimbali yaani kwa nini jamii fulani ni masikini klk jamii nyingine!
Hawa watafiti walikuja na hitimisho kwamba Wamarekani wenye asili ya kwetu Afrika wana IQ ndogo kulinganisha na Wamarekani wenye asili ya Asia na Ulaya na hii inaelezea (kulingana na maoni yao) kwa nini Wamarekani weusi wako kwenye ngazi ya chini ya kimaendeleo ukilinganisha na jamii nyingine!
Walienda mbali zaidi na kufanya test IQ Dunia nzima na sisi huku kwetu tulikuwa wa chini kabisa wa kwanza wakiwa watu wa Asia (Japani, Uchina, Korea &Co.) wakifuatiwa na Wazungu wa Ulaya!
Hawa jamaa walipingwa sana kwamba ni wabaguzi, Je hili la Mchina kuwa wa Pili kwenye mtihani wa kidato cha nne TanZania nzima inasema nini?
Amepata B ya Kiswahili, lugha ambayo siyo yake na wala sia ajabu haiongei nyumbani amewapita watoto wengi sana wa Kiswahili, najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yukpo basi naomba kusahihishwa!
Nikiangalia kwa mfano kwa hali ya kawaida Raisi aliyeonyesha uzalendo kama Magufuli alipaswa kuungwa mkono sana lkn bado kuna watu wanaponda kila jitihada anazofanya badala ya kuungana naye na kumsaidia kutatua matatizo, Je hii haipo kwenye IQ? Yaani uwezo wetu wa kufikiri na kujua kipi ni muhimu na kipi siyo muhimu, ni mdogo?!
Nitatoa mfano Raisi amepiga marufuku uagizwaji wa sukari nje mpaka pale yeye atakapotoa kibali baada kujidhihirisha kwamba kweli kuna sababu ya kufanya hivyo kuna watu wamejaza seva ya JF wanampinga Raisi kwamba amekosea, wkt Raisi amesema lengo ni kukuza viwanda vya ndani ili viweze kuongeza Uzalishaji na kuajiri Watz wengi zaidi, lkn watu wanapinga, sasa kama siyo tatizo IQ ndogo nini?
Kuna anayeweza kunisadia hapo?