Mchina anazidi kuharibu makalio ya wadada

Mchina anazidi kuharibu makalio ya wadada

Wadada mna taabu kweli ktk kujiandaa kuwavutia wanaume
 
Wengine apo wanato gari kabisaa na hata kadi za benki
 
Huyu atakuwa kajaza matambara, maputo na sponji. Huoni yamepishanapishana
 
Hawa wachina wanaharibu kabisa maumbo ya watu,,,,
 
Kwani wamemlisha mtu kwa lazima? Si tamaa zao ndo zinawafanya watumie!
 
Back
Top Bottom