Mchina aliyejenga kipande cha sherui-misigiri(Singida) katupiga

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,662
2,744
Wanabodi,

Natumaini wote wazima. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.

Kwanza naipongeza serikali Kwa ujenzi wa barabara nchini. Sasa kuna kipande kile cha Misigiri to Sherui, sina hakika kilijengwa enzi za JPM au Mh. Change. Ile barabara ya juzi Kati tu hapa ila sasa utafikiri ya 1992.

Ina full vilaka, mashimo, kingo zimemongonyoka, mistari ya barabara ishafutika etc.

Bila kumungu'nya maneno ile barabara ilipigwa kwa kiwango cha chini sanaaa, ukicompare na mkeka wa singida to Karatu bado mpyaaaaa.

Wasaalam!
Mhenga aliye safarini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bhana sasa kuna barabara gani ambayo hatujapigwa,

Kuanzia alizokuwepo yule jamaa wa mto ngono mwenyeji wa katerero.
 
IVI KUMBE KUNA LAMI SINGIDA KARATU??????????????????????????

ILA HATA YA KUTOKA KATESH/HANANG HADI HAPA DARAJANI HAPA KAMA UN UNAELEKA BABATI NAYO TULIPIGWA
 
Wanabodi,

Natumaini wote wazima. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.

Kwanza naipongeza serikali Kwa ujenzi wa barabara nchini. Sasa kuna kipande kile cha Misigiri to Sherui, sina hakika kilijengwa enzi za JPM au Mh. Change. Ile barabara ya juzi Kati tu hapa ila sasa utafikiri ya 1992.

Ina full vilaka, mashimo, kingo zimemongonyoka, mistari ya barabara ishafutika etc.

Bila kumungu'nya maneno ile barabara ilipigwa kwa kiwango cha chini sanaaa, ukicompare na mkeka wa singida to Karatu bado mpyaaaaa.

Wasaalam!
Mhenga aliye safarini.

Sent using Jamii Forums mobile app

= Shelui

Waliokupiga ni ma "engineer" wako walioipokea barabara walipokabidhiwa.

Halafu hicho kipande kina miaka mingapi toka kukabidhiwa? Na ilijengwa barabara itayohitaji "maintanance" kila muda gani?

Usidhani barabara ni kama kupika chapati na kuzila.
 
Wachina wanatuonaga sisi wapumbavu sana angalia kweny viwanda wanavotesa watumishi serikali kimya tu,... Tunaletewa Dawa za plastic na vitambaa,.. Serikali inaangaika na Lissu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom