Ukimchunguza alacho nyuki ; katu hutaionja Asali!
Vikiletwa mezani vifunike kwa damu ya YESU then kula!
bonge la advice nimependa sana hii.
hahaha wala usitake kufahamu mchicha unaokula unamwagiliwa na maji gani mama, ukifanya uchunguzi hutakula kabisaa. ushauri tu ni kwamba osha vizuri kabla ya mapishi na mwishowe funika kwa damu ya YESU, AMEN
Maji yanayotumika ni machafu sanaaaaa..............lakini kama ulivyokwishaambiwa, ukimchunguza kuku hutamla..........Wanajamii.
Nimetokea kuipenda sana Mboga ya mchicha kwani ina faida nyingi sana katika mwili wa mwanadamu.
swali: Haya maji yanayotumika kumwagilia mchicha hapa Dar huwa yanatoka wapi?
Mto msimbazi unajulikana sana kwa kilimo cha mchicha. Je haya maji ya mto msimbazi chanzo chake ni nini?
wanajamii nisaidieni majibu!
Maji yanayotumika ni machafu sanaaaaa..............lakini kama ulivyokwishaambiwa, ukimchunguza kuku hutamla..........
1. umeshawahi kuona mikate invyotengenezwa bekari...????
2. umeshawahi kushuhudia mama baadhi ya mama ntilie wanavyotengeneza vyakula wanavyoviuza...???
3. umeshaona mbege inavyopikwa...........???
4. umeshawahi kuona packing ya karanga, miwa iliyokatwakatwa, ubuyu, etc jinsi inavyofanyika..................???
ukichunguza kila kitu hutakula kitu duniani...........HUYO MKEO/MUMEO
HAKUWA NA 100% YA VIGEZO ULIVYOKUWA UNAVIHITAJI MTU WAKO AWE NAVYO.................. ukichunguza utaishia kutapika tuuuuuuu
Tatizo sio kuuosha mchicha vizuri. JE zile kemikali zlikzoko ndani ya huo mchicha utaziosha vipi? maji mengine yanatoka viwandani, maji taka nk. Ukiangalia maji ya msimbazi yana rangi nyeusi, kijani na wakati mwingine blue tena yana harufu sana, je kuosha ndiyo suluhisho?
Kuanzia wapi..?? Vwawa au KageraKikahe wacha kuumiza akili yako bure kichwa kitakuuma ukashindwa kutuletea mapoint ya maana hapa!
Unazungumzia contamination Bongo?!
Tukianza list itafika mpaka Tunduma;
Amen. can somebody say amen?
maji ya chooooni tu hayo...Mto msimbazi unajulikana sana kwa kilimo cha mchicha. Je haya maji ya mto msimbazi chanzo chake ni nini?
Wanajamii.
Nimetokea kuipenda sana Mboga ya mchicha kwani ina faida nyingi sana katika mwili wa mwanadamu.
swali: Haya maji yanayotumika kumwagilia mchicha hapa Dar huwa yanatoka wapi?
Mto msimbazi unajulikana sana kwa kilimo cha mchicha. Je haya maji ya mto msimbazi chanzo chake ni nini?
wanajamii nisaidieni majibu!
ameeeen,kumbe wa vijiweni tuko wengi,maana wengine tunaambiwa tunaongea km tuko kijiweni.mi nashauri mle matembele na kisanvu, mara nyingi hizi zina unafuu. otherwise kama unapenda mchincha na una kaspace hata kidogo home, weka kibustani cha kishkaji panda mchicha, unakula kitu fresh. zaidi funika kwa damu ya Yesu kama walivyosema wadau, maana neno linasema kama ukimwamini na kumtegemea Mungu, hata ujapokula vya kufisha, hutakufa. can somebody say amen?