Mchambuzi,
..thanks.
..umesema vita ilitugharimu USD 500 million.
..kuna mahali nimesoma kwamba in the last 2 yrs Tanzania tume-export dhahabu yenye thamani ya USD 1.9 billion na USD 1.4 billion.
..hivi thamani ya dhahabu iliyochimbwa nchi hii over the years haiwezi ku-offset hasara tuliyoingia kutokana na vita vya Kagera??
..hivi kuna uhalali wa kuunganisha matatizo yetu ya uchumi ya leo hii na vita vya Kagera??
..naomba nikiri kwamba I am not an economist kwa hiyo naweza kuwa nimekosea.
cc😡NasDaz, chama, Mzee Mwanakijiji, EMT, Gaijin, Kobello, Kiranga, Zitto