chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,897
maendeleo hayaji kwa ku-bet
Ingawa sikupingi mkuu, lakini I will have you know kwamba ada yangu ya mwaka wa pili chuo nilipa kwa hela ya betting..what happened ni kwamba ilifika one day before deadline na mimi nikiwa na buku 60 mfukoni out of 800,000 niliyokuwa nadaiwa kumalizia ada...
baada ya njia zote za kuingiza hela kuonekana zimeziba nilienda kuibetia hiyo hela (haikuwa mara ya kwanza though) nilitengeneza mikeka minne ya buku 10 each na believe me mikeka miwili iliniingizia kiasi cha shilling 718,000..kumalizia iliyobaki ilikuwa rahisi baada ya hapo. Kuweza kumaliza chuo kwangu ni maendeleo
so it is a mixed situation..kuna ambao wameendelea kwa kubet mkuu
ckatai tatzo cku hiz vjana hawataki tena kaz na hawataki tena kusoma wanaona beting ndo kila kitu sasa hii kitu ikifa cjui itakuwaje
maendeleo hayaji kwa ku-bet
Hapo nimekusoma mkuu...wanapoteza dira hao..hii inatakiwa ifanywe kama game most of the time...sio kama investment
Serikali ishakiri kuwa ajira ni tatizo,wewe unasema vijana hawataki kazi wakati hapo wamejiajiri!Acha watu wale pesa ya Muhindi.
Serikali ishakiri kuwa ajira ni tatizo,wewe unasema vijana hawataki kazi wakati hapo wamejiajiri!Acha watu wale pesa ya Muhindi.
Mm na bet timu nne tu...napiga chabo mikeka ya watu kumi..natengeneza sample yang...daily nakula elf 50 nikiweka10
Hapa jf thread inayokimbia kwa speed ya rocket ni ya wazee wa kuweka mzigo huwaambii kitu. Kuna id mule huji kuziona popote!
Hii kitu mbaya sana. Vijana wanakimbilia huko, tunapoteza taifa!;vijana wanafikia hatua ya kukwapua ili aende kubeti!
Kuna mambo ya kushabikia kwa hili tunapotea!
iko jukwaa gani hiyo mkuu?