Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,045
Unachofanya ni Argument ya kitoto sana Boss na huenda hujapata taarifa kuhusu huko Msumbiji. Ni hivi , the fact kwamba rwanda inaelekea kumaliza hao magaidi msumbiji haimaanishi Tz tumeshindwa bali nchi yetu haijataka kujiingiza katika huo mgogoro kabisa yani hatujaamua kutumia military interventionsKa nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?
Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Jamaa amenishangaza sana huyo. Ka Rwanda mnaweza kuka attack within a day tu. Ukifuatilia historia za vita tokea ww2 mpaka leo utaona kuna sababu kama geographical coverage inaweza kuathili military operation mfano wakati tunaivamia Uganda ilichukua muda mrefu kuizunguka Uganda yote na Hata wanajeshi wa ujerumani walishindwa kuiteka Ulaya yote moja ya sababu ni kwamba kuna nchi ni kubwa mno hata kama haina uwezo wa kijeshi mkubwa ila inaweza kushinda vita maana nyie mtapita maporini mpigwe baridi huko mnyeshewe na mvua muanze kufaUnaongea ukiwa Burundi au Bangui? Yaani nchi ambayo ukiwa Tabora unapiga Popote unapotaka ukienda Karagwe itakuwaje si unalenga Ikulu na RPG
Sisi tukiwa wapi?Wanarudi mtwara?
Rwanda sasa ajiandae Hawa jamaa siyo watu.Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa, Bado SADC wanapakia Mizigo ku isaidia Msumbiji.
Rwanda tutaijua tu in10 years coming! Inauma sana tena sana Mungu katupa resources ila kuzilinda kutumia vizuri tukashindwa.[emoji22]
View attachment 1885246
View attachment 1885247
View attachment 1885249
View attachment 1885250
View attachment 1885252
View attachment 1885253
View attachment 1885254
View attachment 1885255
View attachment 1885256
View attachment 1885257
View attachment 1885259
Na Hivi masheikh wa uamsho wako mtaaniRwanda sasa ajiandae Hawa jamaa siyo watu.
Sio kudhani Tu...wanajua kweliWale ni wapuuzi tu wanadhani wanamjua zaidi Mungu kuliko wenzao.
Sijaekupata vizuri.Sio kudhani Tu...wanajua kweli
Mbona kama A=BSijaekupata vizuri.
'Wanajua' wanamjua zaidi Mungu kuliko wenzao?
Au
Unasema ni 'kweli' wanamjua Mungu kuliko wenzao?
Hapana.Mbona kama A=B
Em nisaidie Mimi laymen kuiona Hyo tofautiHapana.
Hayo ni maswali mawili tofauti.
B='WEWE UNATHIBITISHA' kweli hao jamaa (maghaidi) wanamjua Mungu kuliko wenzao.Em nisaidie Mimi laymen kuiona Hyo tofauti
Rwanda wanafanya vizuri sana lakini don't over rate them.Nilisema mimi... Itafika muda Rwanda watatuadhiri East africa.siku hiyo inakaribia.
Nilijua aurlus mabele wetuGeneral alie ilejeshea amani Msumbiji ndani ya mwezi mmoja tu.
Brigadier General Padcal Bahizi.
View attachment 1885663
Ni yupi huyo Loketo wetu ?Nilijua aurlus mabele wetu