Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,327
Ukitaka kujua Kagame anaogopa Tanzania fuatilia siasa zake enzi za Magufuli.Acha hizi story za kisenge za 10 years ago kwenye nchi ambayo sio Uganda au Rwanda,
Ni Congo walikutana huko,with different motives,hivyo usilete hizi alinancha
Refer ugomvi wa Kagame na Museveni in 2019-2020 wa mpaka wa Rwanda na Uganda ,Kagame kaomba msamaha mwenyewe!
Kagame ni msenge tu...anatumia media kujitangaza ana uwezo mkubwa but in reality hiyo ni marketing tupu,Kikwete anamjua vizuri
Kwanza alijifanya kumletea mdomo Mkapa,akanyooshwa,then akajifanya kumfunulia pua Kikwete,akanyooshwa
Kagame ni kiazi kabisa
Narudia tena, hujataka fuatilia tuRTV ya nchi gani?
USILETE SIASA KWENYE MAMBO YA JESHI. KATIBA MPYA ITAPATIKANA NA JWTZ NI BORA NA ITAKUWA BORA DAIMA.Kuna vijana ambao hawakupita JKT hapa wanaisifu Rwanda. Mjomba! Hakuna kiumbe yoyote anaweza tishia Tanzania. Na sio kwa vita tuu mpaka kisiasa. Tanzania ndiye imekomboa nchi nyingi za Afrika na itabaki kuwa hivyo.
Halafu naona wengi wanaoisifu Rwanda ni wale wa katiba mpya. Tulieni nyie
Unajua mkuu tukizungumzia drones ni term moja kubwa mno. Kuna drone hadi unaishika kwa mkono mmoja na kuirusha, ila kuna drone zina tani 7+ zinaruka na kukaa hewani masaa 26+. Drones za kufanya strikes kama hizi Predator zinauzwa bei ghali au hata surveillance drones kama Global Hawk zina bei sana. Hata MALE zina bei.Umeisahau Kenya
Mkuu tutulie kwanza hapa. Naomba unipe tetesi hizo kwangu ni mpya.Kwanza kabisa rwanda hawana ndege za kijeshi vifaru havifiki hata 50 .tanzania ndani ya mwaka huu tumeagiza zaidi ya vifaru 25 kutoka urusi pia kuna pantsir air defense kama mbili zilipita eneo la msamvu morogoro nimepata tete tanzani tuna ndege za mig 29.tanzania drone za tech rahisi tunazo
Hamna kitu mnajisifia Sana Sisi nyie tunawatumia kuruta Tu wanawatosha [emoji23][emoji23][emoji23]watoto tuliowalea wenyewe hamtutishi.Tanzania mlikuja si Kwa sababu ya ukimbizi alafu tunawajua vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi ndio Bahima empire kasome hiyo kwanza. Ndio utajua tumepenyeza Hadi sehemu gani ya East Africa.
JK aliwachapa vizuri tu mwishoni mwa utawala wake, usilinganishe Rwanda na Tanzania kaka, watakucheka watu.Rwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
We jamaa unaiongelea Rwanda ipi wewe? Hivi unajua miongoni mwa watu walikua wanaomba Mungu JK aondoke madarakani HARAKA, PK nae ni miongoni mwao? Unaikumbuka ile vita ya maneno kati ya JK na Kagame kule Ethiopia? JK alihutubia in a very polite language, Kagame akiwa anaaga jeshi kwenda zake ziara sijui ilikua Japan (uzi huo upo humu ) ali talk shit balaa kutuhusu, JK akaomba game Congo pale, unajua majeshi ya M23 yalikua ni muungano wa Uganda na Rwanda, walipigwa wale watu hadi wakaomba poo, Magufuli alivyoingia akawa na mtazamo tofauti; narudia, unaiongolea Rwanda ipi? Huenda sisi hatukupeleka majeshi Msumbiji kwasababu za kibaishara na sio kuwaogopa magaidi. Tulipigana na serikali ya makaburu kule kule Msumbiji, usicheze na bongo yaaniIngekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Ni muda mrefu sasa tumekuwa tukishuhudia mijadala mingi kuhusu kufananisha uwezo wa kijeshi kati ya tz na rwanda..na sijui ni kwa nini. Huenda kile kipindi cha jk ndo kimesababisha haya mana zilitaka zichapweee..huenda zikachapwaa siku moja lets keep watching. But mind you guys, being a little country geographically, doesn't make it to be inferior in millitary perspective, same applies to large country geographically. What it takes for a country to be superior is all about war tactics, level of military intelligence, the technological advancements in the arsenal, millitary equipments, economy and the likes.Yani kinachokufanya uione Rwanda ya maajabu ni nini. Kupigana na washika majambia na wale wavaa yeboyebo?
Kwani kuna vita kule, we umesikia battle yeyote au confrontation? Rwanda walienda kufukuza magaidi, hawajapigana nao hata. Hii hata Polisi Tanzania wanaweza
Unatumia wendawazimu wa serikali ya Msumbiji na udhaifu wa jeshi lake kuikuza Rwanda. Haina maajabu yeyote ya maana mbele ya Tanzania
Hebu jiulize Tanzania wapi utafanya kitu usijulikane? Serekali ipo kila kona tofauti na kwingine utasikia hata ndege imepotea hakuna taarifa
Kipi kati ya ulivyotaja hapo Rwanda inaizidi Tanzania. Technology? Tactics? Weapons? Military intelligence?Ni muda mrefu sasa tumekuwa tukishuhudia mijadala mingi kuhusu kufananisha uwezo wa kijeshi kati ya tz na rwanda..na sijui ni kwa nini. Huenda kile kipindi cha jk ndo kimesababisha haya mana zilitaka zichapweee..huenda zikachapwaa siku moja lets keep watching. But mind you guys, being a little country geographically, doesn't make it to be inferior in millitary perspective, same applies to large country geographically. What it takes for a country to be superior is all about war tactics, level of military intelligence, the technological advancements in the arsenal, millitary equipments, economy and the likes.
So beware especially tz, we always drug things to our side. Our millitary should be (if not yet) transformed from conventional to more advanced system to combat any challenge from everywhere..
Refer to japan and china..then and now? Japan dominated china despite its size. But what about now? You have your answer.
What about britain?? And the very sound example is the political insrael they dominate middle east though some says they have been backed up by supper power(USA and EU).
Kwanza kabisa rwanda hawana ndege za kijeshi vifaru havifiki hata 50 .tanzania ndani ya mwaka huu tumeagiza zaidi ya vifaru 25 kutoka urusi pia kuna pantsir air defense kama mbili zilipita eneo la msamvu morogoro nimepata tete tanzani tuna ndege za mig 29.tanzania drone za tech rahisi tunazo
Una umri gani? Hizo picha zote sijaona mapigano sehemu yoyote zaidi ya show off ya vigali vichache, unajua tukipeleka platoon moja tu iliyotoka Congo na zana zake utajikojolea?Ila Tanzania tulikuwa na propaganda Mara tunaongoza kwa Vita ya chini Duniani!?
Mara sisi Ni wa pili Duniani kwa intelligensia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Enzi za Mwl it was funny.
Wewe ni mwanajeshi au mwanasiasa au Mwana si hasa?Ni muda mrefu sasa tumekuwa tukishuhudia mijadala mingi kuhusu kufananisha uwezo wa kijeshi kati ya tz na rwanda..na sijui ni kwa nini. Huenda kile kipindi cha jk ndo kimesababisha haya mana zilitaka zichapweee..huenda zikachapwaa siku moja lets keep watching. But mind you guys, being a little country geographically, doesn't make it to be inferior in millitary perspective, same applies to large country geographically. What it takes for a country to be superior is all about war tactics, level of military intelligence, the technological advancements in the arsenal, millitary equipments, economy and the likes.
So beware especially tz, we always drug things to our side. Our millitary should be (if not yet) transformed from conventional to more advanced system to combat any challenge from everywhere..
Refer to japan and china..then and now? Japan dominated china despite its size. But what about now? You have your answer.
What about britain?? And the very sound example is the political insrael they dominate middle east though some says they have been backed up by supper power(USA and EU).
We tarehe itakusaidia nini jua Tanzania siyo nchi ya mchezohiyo pantsir na mig 29 zimenunuliwa lin ?
Upumbavu. Umefahamia wapi military weakness za JAMHURI? Unakaribishwa kufanya majaribio.Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi.